
KABLA YA KUPAKUA FOMU YA KUSHIRIKI ZINGATIA YAFUATAYO
1. Hakikisha hadithi imeandikwa kwa Kiswahili fasaha bila makosa
2.Wakilisha hadithi kwa njia mbili kielekroniki na hardcopy.
3. Mwisho wa kurdisha fomu na kuwakilisha hadithi ni 14/10/2019.
4. Kwa waliopakua fomu mtandaoni wakilisha fomu, hadithi (kielekroniki na hardcopy) na malipo ya fomu Sh 30,000/-
5. Malipo yafanyike Bomba FM au Mpesa 0766237329 (Wiseman Luvanda), tigopesa 0713123402 (Christopher Zacharia)
6. Kielekroniki tuma hadithi yako kwenda
7. Au wakilisha kwa flash katika ofisi za Bomba FM (Block T)
8. Jina na mshiriki liwe sawa na usajili wa Mpesa na tigopesa